SEXTORTION’ NI NINI?

Huu ni msemo mpya wa kiingereza unaotumika kuelezea dhana ya matumizi mabaya ya madaraka yanaoambatana na unyanyasaji wa kijinsia (rushwa ya ngono). Wanawake na wanaume huathirika na ‘sextortion’ japokuwa waathirika wakuu ni wanawake.

Sextortion-Brochure-swahili.pdf download View | Download
Categories: Publications